Psalms 116:17-19


17 aNitakutolea dhabihu ya kukushukuru
na kuliita jina la Bwana.

18 bNitazitimiza nadhiri zangu kwa Bwana
mbele za watu wake wote,

19 ckatika nyua za nyumba ya Bwana,
katikati yako, ee Yerusalemu.

Msifuni Bwana.
Copyright information for SwhKC